Pin song

JINSI YA KUMPIGIA KURA FLAVIANA GABRIEL BONGO STAR SEARCH 2019 (season 09)

Anaitwa FLAVIANA GABRIEL Mshiriki namba 12. Jinsi Ya kumpigia Kura Fraviana Gabriel Cha Kufanya Ipakue Apps Ya Startimes katika Playstore


Ikimaliza Installing ifungue Apps Ya Startimes utabofya Tangazo Ambalo Litaonekana Chini Ya Tamgazo lengine ilo tangazo Litaonyesha Picha Ya Madam Rita, Salam, Na Master Jay
MFANO WA PICHA UTAVOINGIA APPS STARTIMESUkibofya Ilo Tangazo Utawaona Washiriki Lakini cha kufanya Usiende Kokote Nenda Kwa Mshiriki Aitwae FLAVIANA GABRIEL Mshiriki Namba 12 Na Utavote Mara Tano
MFANO WA PICHA

MCHAGUE FLAVIANA GABRIEL NO 12
VOTE MARA TANO 
HAKIKISHA UMEVOTE MARA TANO NA UNAWEZA UKAVOTE KILA SIKU SAIDIA USHINDI KWA FLAVIANA GABRIEL KATIKA BSS SEASON 9

No comments