Pin song

MUSIC PROMOTION TANGAZA NA SISI


For English Language Click Here

Music Promotion

                                   MUSIC PROMOTION

ZIJUE FAIDA ZA KUWEKA WIMBO WAKO OSCAR BOY MUZIKI


1.
Mtembeleaji wa website yangu utaweza
kudownload Wimbo wako kwa urahisi zaidi kwa
kwa kubofya mara moja tu. Download yangu haina
mlolongo mrefu kama Wengine

2.OSCAR BOY MUZIKI inaingiza watu 1000,000
na kuendelea kwa Mwezi Mmoja... Hivyo basi wimbo
wako Utaonekana kwa watembeleaji wengi na utakaa
OSCAR BOY MUZIKI kwa Muda Mrefu Mpaka pale
website Yetu itakapokuwa haiko hewani.


3.OSCAR BOY MUZIKI ina sehemu ya kushare/kusambazia
Muziki wako kama FACEBOOK na Mitandao mingine Ambayo
unaweza kuwatumia Wenzako

4.Pia Wimbo wako Utaonekana katika Ukurasa wetu wa FACEBOOK
Ambao una zaidi ya watu 20000 Na account pia

NAJUA UNAPENDA KUTANGAZA NAMI HIVYO FUATA
MAELEZO YAFUATAYO


1.
Tuma wimbo ukiambatanisha na picha(Photo Cover) ya Msanii
kupitia Njia Zifuatazo; Zingatia Tuma picha ambayo Tayari
Imetengenezwa kwa ubora Zaidi
 @Email. oscarboyMuziki@gmail.com
@Whatsaap Na; 0744099329

     Kumbuka  kuandika jina la Msanii Na Jina la Wimbo pia.

2.U
kiwa kama Msanii Utaweza Kulipia Tsh: 10,000/=(elfu kumi ) kwa  AUDIO moja. Na kama ni AUDIO+VIDEO utalipia Tsh: 20,000(elfu Ishirini)
kwa Video Peke yake ni  15,000(elfu kumi na tano).

3.Njia za Malipo Ni

(i).M-PESA: 0744099329 (jina la M-pesa ni Oscar Classic )Baada ya kufanya yote hapo juu Piga simu au Nitumie Ujumbe
mfupi Whatssap au kwa Email OscarboyMuziki@gmail.com

    WIMBO WAKO UTAKUWA TAYARI NDANI YA MASAA 24
KWENYE WEBSITE YANGU

   (Timiza Ndoto Yako Ya Kuwa Star na OscarboyMuziki.com)
1 comment: